Bembea ya Maisha – Setbook (Access) Comp

Bembea ya Maisha – Setbook (Access) Comp

KES610
Product Code: Bembea ya Maisha – Setbook (Access) Comp
Stock Instock

Overview

Bembea ya Maisha ni hadithi kuhusu Yona na mkewe Sara pamoja na Bunju na mkewe Neema. Wahusika hawa wanajikuta katika vuta n’kuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni, uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika binafsi. Baina yao kuna mit...

Bembea ya Maisha ni hadithi kuhusu Yona na mkewe Sara pamoja na Bunju na mkewe Neema. Wahusika hawa wanajikuta katika vuta n’kuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni, uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika binafsi. Baina yao kuna mitikiso inayotishia familia, ndoa na mahusiano ya kijamii. Kuna shutma, shaka, tuhuma na mivutano. Lakini pia kuna hongera, imani, ushirikiano, upendo, kutanabahi na mshikamano. Katika huu mseto wa mambo ipo sauti imara ya Sara inayosikika ikihimiza na kuzindua. Sauti inayoiona kila hali mfano wa bembea.

Product Specifications

Pack Size: 1 PIECE

Genre: Fiction

Region: Kenyan

Subject: Kiswahili

Sub Subject: Fasihi

Author: TIMOTHY M..AREGE

Publisher: ACCESS PUBLISHERS LTD

Class: Form 2 – 4


BUY NOW Bembea ya Maisha – Setbook (Access) Comp online in Nairobi at Emart Kenya

We offer same-day delivery in Nairobi within hours, and we send parcels to Mombasa, Eldoret, Nakuru, Kisumu, Kiambu, Voi, Nyahururu, Karen, Runda, Muthaiga, Lavington, Meru, Pridelands, Juja, Thika, Diani Beach, Kileleshwa, Murang’a, Wajir, Limuru, Garissa, Machakos, Kisii, Malaba Border, Tigoni Kiambu, and across all 47 counties of Kenya.

We also deliver across East Africa, including Uganda, Tanzania, and Sudan.

For quick orders Call/WhatsApp: 0799 978 966 / 0739 701 854.